ENGLISH
KISWAHILI
Mrejesho
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi
Mwanzo
Kuhusu LTIP
Vipengele vya Mradi
Kutoka kwa Mratibu wa Mradi
Utawala
Muundo wa Mradi
Muundo wa Timu ya Utekelezaji wa Mradi
Machapisho
Miongozo ya Mradi
Ripoti za Mradi
Mkakati wa Mawasiliano wa Mradi
Sheria za Ardhi
ESMPs
Kituo cha Habari
Hotuba
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Jarida la Mtandaoni
Vipeperushi
Taarifa kwa Umma
Fomu
Mrejesho
Maktaba ya Picha
Picha za LTIP
Picha za LTIP
Picha za LTIP
3
Apr 24
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisema neno katika mkutano wa kujadili utekelezaji...
3
Apr 24
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akikabidhi cheti cha ardhi ya kijiji katika mkutano...
8
Mar 24
Wadau wakiwa katika mkutano wa wadau ngazi ya Wilaya kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ard...
5
Feb 24
Afisa Mradi akishiriki katika shughuli za kiuchumi ikiwa ni njia mojawapo ya kupata nafasi ya kutoa elimu kuhusu mradi
5
Feb 24
Afisa Mradi akichukua taarifa muhimu za umiliki kwa mkazi wa Mtaa wa Utemini katika Halmashauri ya Mji wa Nzega Mkoani T...
12
Dec 23
Asasi za Kiraia zikiendelea na utoaji elimu wa masuala mbalimbali katika sekta ya ardhi kwa makundi maalum
12
Dec 23
Mratibu wa Mradi FRV. Joseph Shewiyo akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usa...
12
Dec 23
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau kujadili Utekeleza...
12
Dec 23
Meneja wa Urasimishaji mijini Bw. Leons Mwenda akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Ubo...
12
Dec 23
Meneja wa Urasimishaji vijijini Bw. Joseph Osena akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Ub...
14
Nov 23
Mwakilishi wa Mradi wa LTIP katika zoezi la ukwamuaji urasimishaji Mkoa wa Dar es Salaam akikabidhi hati ya pamoja kwa m...
14
Nov 23
Asasi za Kiraia zinazoshughulika na masuala ya ardhi wakitoa elimu juu ya manufaa Mradi hasa kwa makundi maalum
14
Nov 23
Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi watatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 18 Chalinze, Mkoani P...
14
Nov 23
Wananchi Wilayani Chalinze wakihakiki taarifa zao za umiliki kabla ya taratibu za umilikishwaji kuendelea
14
Nov 23
Mwananchi wa Mtaa wa Bihawana Jijini Dodoma akionyesha mipaka ya eneo lake kwa wataalamu wa mradi wakati wa zoezi la ura...
14
Nov 23
Timu ya Utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi katika Wilaya ya Chalinze wakiwa katika picha ya pa...
Feedbacks
Mrejesho, Malalamiko au Wazo
Wasilisha